Ina maana hujawahi kuona kazi zinazofanywa na NGOs? Unashabikia upumbavu! Siyo NGOs zote zinapata hela kutoka Marekani!Tuwashukuru Trump na Elon Musk kwa jaribio hili nyeti la kutuondishea wahuni kwa jina la misaada.
sasa ni wakati na fursa wa Serikali yetu kufanya upembuzi yakinifu kuhusu misaada sio tu ya USAID bali wote wanaoleta misaada hiyo nchini.
Je inawafikia na kuleta tija kwa walengwa au ni chaka jingine la wapigaji?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Nini kiliwazuia kufanya upembuzi yakinifu kabla? Wakishafanya upembuzi yakinifu ndo misaada itarudi?Tuwashukuru Trump na Elon Musk kwa jaribio hili nyeti la kutuondishea wahuni kwa jina la misaada.
sasa ni wakati na fursa wa Serikali yetu kufanya upembuzi yakinifu kuhusu misaada sio tu ya USAID bali wote wanaoleta misaada hiyo nchini.
Je inawafikia na kuleta tija kwa walengwa au ni chaka jingine la wapigaji?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
HIzo NGO ndio chanzo cha maambukizi kushuka, in late 1990s to 2000s USAID ilikuwa serious na huo ugonjwa. Otherwise gov ilikuwa imeshazidiwa, else tu tungekuwa kama south africaTuwashukuru Trump na Elon Musk kwa jaribio hili nyeti la kutuondishea wahuni kwa jina la misaada.
sasa ni wakati na fursa wa Serikali yetu kufanya upembuzi yakinifu kuhusu misaada sio tu ya USAID bali wote wanaoleta misaada hiyo nchini.
Je inawafikia na kuleta tija kwa walengwa au ni chaka jingine la wapigaji?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Tanzania iko na.pesa mingi sana swala.ni usimamizi kupunguza matumizi angalia magari na washiriki kwenye mikutano yao pia viongozi kusafiri na timu kubwa na muda wa safari.HIzo NGO ndio chanzo cha maambukizi kushuka, in late 1990s to 2000s USAID ilikuwa serious na huo ugonjwa. Otherwise gov ilikuwa imeshazidiwa, else tu tungekuwa kama south africa
Evn sasa, wame shut down operations, ni suala la muda kabla serikali haijawa overuned na hili suala