Ni basi lipi 'luxury' kwa safari za Mbeya?

muneera75

Senior Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
190
Reaction score
318
Habari,

Guys, kwa mtu yeyote anayejua magari mazuri ya kusafiria safari za mkoani especially Mbeya aniambie 'luxury bus'
kama kuna sehemu za kuchaji. Ikiwezekana kwa anaejua au amesikia ni basi lipi zuri aseme.

Thanks in advance.

NB: If you have a negative mind, don't reply.
 
Naona muda wa kwenda kuwasili chuo umefika.
Sasa wew watokea mkoa gani kwenda mbeya ili upate jibu haraka.
 
Kutoka wapi kwenda mbeya? weka vzr swali lako mtoto mzuri. Halafu basi nyingi za mbeya ni ngalangala tu.
 
Mi naomba nikukaribishe mbeya mkuu!ukihitaji mwenyeji wa kupoteza nae mda ntafute.
 
Dar to Mbeya
Yaani sio kama sijawahi kwenda NO nimewahi but nilipanda princessmuro ambalo ndo bovu bovu
baadae nikabadilisha usafiri nikapanda newforce nilikua zuri ila sio kiivo ani asa last time nimepanda dar lux lilikua very slow mpaka nikafika dar saa 3 usiku kutoka mbeya..so this time nataka mnambie gari zuri mnalolijua lingine ...nataka nichague maana november ndo hiyo
 
Panda Sauli, saa kumi na mbili utakuwa umefika mbeya, pia wahi kukata tiketi mapema siku mbili kabla ya safari
 
Panda About Bus Service
Marcopolo Andare Class hutojuta
 
uvae sweta eh.
 
Sasa kwanini usipande bombadia, Mimi nakushauri achana na mabus hayo
 
Ma bus mazur yapo kadhaa
Iman plus - bado jipyaa sana
Sauli - kuwahi ni jambo la kawaida sana
Alsaedy iwe yutong
Dar lux
Golden deer panda za tunduma no 1
 
Kwan ukipanda maroli roho yako inakua wapi?
Death is never escaped yani kokote pale unakufa bro.
Roho inatulia maana speed haipo kama basi zina overteck sehemu ambazo sio salama

Kufa kwangu ni kitu kinacho tarajiwa ila sio kifo cha mtu na haraka zake
 
Sauli ndo anatamba.. unaweza kubahatisha ukaenda na ile Benz au Gemilang.. Au unaweza kubahatisha ile mpya DRN
 
Nilipanda Al saedy kuja huku lina sehemu za kuchaj ila sio viti vyote


karbu mbeya niko mbele ya benki kuU

karbu tufungue academc year 2019

ukija unipm

ila usisahau laki 2 kwa ajil ya mabweni
 
Al saedy saa 1:30 upo mbeya
Au New Force ya sumbawanga au tunduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…