Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,841
Uzi ufungweKafungue equity bank utanikumbuka, Haina Makato ya mwezi, Makato ni pale unapotoa Hela, vinginevyo fedha yako inabaki kama ilivyo hata kama ni mwaka mzima.
Nina akaunti kwenye hiyo bank zaida ya miaka 3.
Unachosema ni kweli kabisa na kama akaunt yako ina tsh 10,000 unaweza kutoa kwa njia ya mobile au hata kununua vocha hadi kubaki 0 kwakuwa hakuna monthly chargesKafungue equity bank utanikumbuka, Haina Makato ya mwezi, Makato ni pale unapotoa Hela, vinginevyo fedha yako inabaki kama ilivyo hata kama ni mwaka mzima.
Nina akaunti kwenye hiyo bank zaida ya miaka 3.