Ni benki gani nzuri ya kuhifadhi fedha kwa ajili ya mustakabali wangu?

nicothedemo

New Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Habari wadau,

Ni benki gani nzuri naweza kuwa na save pesa zangu kwa ajili ya baadae yangu?
 
La msingi ni kuhakikisha benki unayohifadhi hela zako ina leseni ya Benki Kuu ambayo kisheria lazima kopi yake iwekwe sehemu ya wazi hasa banking hall
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…