Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kiongozi, sijalielewa vizuri swali lako - inawezekana liko kifalsafa zaidi. Lakini simply kama unataka kunufaika na huduma nzuri ya kibenki nadhani swali lako lingekuwa the other way around like "Je ni benki gani yenye huduma nzuri zaidi"Tanzania kuna utitiri wa mabenki.
Je ni benki gani yenye huduma mbovu zaidi?
Kuanzia huduma kwa wateja, bidhaa, makato, huduma za mikopo,uaminifu na huduma za atm
kiongozi, sijalielewa vizuri swali lako - inawezekana liko kifalsafa zaidi. Lakini simply kama unataka kunufaika na huduma nzuri ya kibenki nadhani swali lako lingekuwa the other way around like "je ni benki gani yenye huduma nzuri zaidi"
SACCOS hazina ATM , haa haa haaa !
Tanzania kuna utitiri wa mabenki.
Je ni benki gani yenye huduma mbovu zaidi?
Kuanzia huduma kwa wateja, bidhaa, makato, huduma za mikopo,uaminifu na huduma za atm
I hate foleni katika kupata huduma ya benki hasa pale ninapotaka kudeposit! Unawezaje kuniweka kwenye foleni wakati nakuja kukupatia pesa yangu? Kwenye hili nawachukia mno NBC, NMB na CRDB! Sijui wanaona sifa kuwa na mafoleni marefu!? Aaaghhh.
I see..Nilisha wahi kuuliza hivy, nikajibiwa kuwa benki kuu.
Nikatamani kuzimia
Exim kwa kweli customer service is the worst ever. CRDB nayo naiona hivyo hivyo tu nothing new. NMB is really good coverage na makato si mabaya sana lakini nao mafoleni sasa ndo shida si asubuhi si mchana si jioni.