I hate foleni katika kupata huduma ya benki hasa pale ninapotaka kudeposit! Unawezaje kuniweka kwenye foleni wakati nakuja kukupatia pesa yangu? Kwenye hili nawachukia mno NBC, NMB na CRDB! Sijui wanaona sifa kuwa na mafoleni marefu!? Aaaghhh.
The way u hate Asians I knew that u were gonna say Exim!EXIM is the worse bank inTanzania. Ukibahatika kupata ATM card hazifanyi kazi . Ukitaka hela counter eti ukasini mbele ya cashier au meneja akusainie sijui mamabo gani? Upuuzi mtupu. Ukitaka benki nenda nyingine mbaya lakini hii uisende nakuambia.
CRDB Kijitonyama wameanzisha hii system ya number, first in first outm, lakini wavivu kuita wateja, unaweza kaa na number yako muda mrefu bila kuitwaBenki zote mbovu. All solutions they attempt to implement, create even more serious problems.
Nyie mnaokaa ughaibuni, mnaona jinsi benki na hata maduka makubwa yanahudumia kwa kufuata namba iliyopo kwenye risiti unayopata baada ya kubonyeza mahala fulani.
Hivi hili haliwezekani hapa kwetu?
Barclays nadhani ni wazuri sana kuliko bank zote,ila mimi account yangu ya barclays nimefungulia nje ya nchi ndio maana inakuwa rahisi sana,ila hapo bongo ni vigumu sana kufungua wanataka vitu vingi sana!
Kumbe ni ya wahindi eeh? asante kwa taarifa.The way u hate Asians I knew that u were gonna say Exim!
Stop xenophobia
Tanzania kuna utitiri wa mabenki.
Je ni benki gani yenye huduma mbovu zaidi?
Kuanzia huduma kwa wateja, bidhaa, makato, huduma za mikopo,uaminifu na huduma za atm
The way u hate Asians I knew that u were gonna say Exim!
Stop xenophobia
Mkuu hamia BOA Bank kule mambo ni shwari, huduma first class!!! Believe me you will not regret.
Tiba