Huduma zote zinatolewa na watu sasa kama watu ni wazembe TUNASEMA HUDUMA MBOVU!! (Tukubaliane kwanza)
Twende kazi
1. TIB
Hasa ile branch ya Samora yni daaah wale wadada wa reception ni ovyo kabisa tena kbisa, wanajiona hatari, ukienda atajfnya yuko biize, ila ukivaa SUTI na TAI atakushobokea fasta
2.NIC
Ile branch ya Golden Jubilee Tower pale, daaaah yule dada
na management kwa ujumla wapo slow na maringo mengi sna!!
3.Banc ABC
Branch ya Uhuru Height vlevle
4.UBA
Branch ya Maktaba street na ukifika kutaka kujua jifanye unataka profit rate za FDR account na utapelekwa chumba cha dada mmoja hvi, Daaaaaah
5.Azania Bank
Mtaa wa samora karibu na mnara wa Askari
6.Bank of India
Mtaa wa maktaba
~Cmb