Hii nayo nimeisikia sana kwa watu,ila naona yasije yakaja kutokea kama yale ya desiSiku hizi watu hawapeleki bank ni safari moja Sukari house UTT.
Wasubiri wa mabank watakuja kukwambia
Mkuu smartphone yako ya kazi gani mpaka unajiuliza maswali yote hayo?Hii nayo nimeisikia sana kwa watu,ila naona yasije yakaja kutokea kama yale ya desi
Mkuu smartphone yako ya kazi gani mpaka unajiuliza maswali yote hayo?Hii nayo nimeisikia sana kwa watu,ila naona yasije yakaja kutokea kama yale ya desi
Nimeuliza kwa kuona wengi wa watu ninaowafahamu wamepeleka pesa zao uko, hua fursa kama izo zikitokea na watu wa bank wakiona wateja wao wanatoa pesa na kupeleka uko basi kuna vitu huenda vikabadilika uko UTT amini ilo.Mkuu smartphone yako ya kazi gani mpaka unajiuliza maswali yote hayo?
Hivi unafahamu jinsi hizi taasisi zinavyofanya kazi au upo hapa kuzungumza jambo gani?nimeuliza kwa kuona wengi wa watu ninaowafahamu wamepeleka pesa zao uko,hua fursa kama izo zikitokea na watu wa bank wakiona wateja wao wanatoa pesa na kupeleka uko basi kuna vitu huenda vikabadilika uko UTT amini ilo.....
Fungua account ya CRDB ya mzigo flexa ambayo inakupa asilimia 9 kila mweziii ya ela ulioweka na kiwango Cha chni Cha kusave ni million 1 unaeza ukaongeza pia na unawezaa kutoa faida yako kila mweziii piaa
Ni bora kuliko kusave ela invest ela
Asilimia 9 kila mwezi? R u sure? Yaani niweke million kila mwisho wa mwezi nina million 9?Fungua account ya CRDB ya mzigo flexa ambayo inakupa asilimia 9 kila mweziii ya ela ulioweka na kiwango Cha chni Cha kusave ni million 1 unaeza ukaongeza pia na unawezaa kutoa faida yako kila mweziii piaa
Ni bora kuliko kusave ela invest ela
Kila mwisho wa mwezi utakuwa na elfu tisini na si milioni tisa,mbona hizi ni hesabu za vidudu au hukupita vidudu mkuu...Asilimia 9 kila mwezi? R u sure? Yaani niweke million kila mwisho wa mwezi nina million 9?
Noana labda ulimaanisha 0.9% maana 9% ya 100million ni 9millionKila mwisho wa mwezi utakuwa na elfu tisini na si milioni tisa,mbona hizi ni hesabu za vidudu au hukupita vidudu mkuu...
We mzee ulikimbia hesabu kwa ajili ya mbususu?ππAsilimia 9 kila mwezi? R u sure? Yaani niweke million kila mwisho wa mwezi nina million 9?
Ah hapo nilitaka sema kiweka millio miaWe mzee ulikimbia hesabu kwa ajili ya mbususu?ππ
Mkuu mbona hivyo? 1,000,000Γ0.09=90,000.Noana labda ulimaanisha 0.9% maana 9% ya 100million ni 9million
π€£π€£π€£Ah hapo nilitaka sema kiweka millio mia