Ni benki ipi isiyo na riba ni sahihi kukopaTanzania?

Ni benki ipi isiyo na riba ni sahihi kukopaTanzania?

Obel

Member
Joined
Jun 11, 2023
Posts
56
Reaction score
72
Assalam aleykum

Kwa sisi watumishi wa umma ambao ni Waislam na tunahitaji kukopa kwenye hizi bank ili kuendeleza maisha je ni bank ipi Sahihi isiyo na riba kwa hapa Tanzania?
 
Sasa mkopo Gani ukose riba
Benki zinafanya biashara ya riba
Kama umeolewa dini kakope Kwa kijumbe
 
Assalam aleykum
Kwa Sisi watumishi wa umma ambao ni waislam na tunahitaji kukopa kwenye hizi bank ili kuendeleza maisha je ni bank ipi Sahihi isiyo na riba kwa hapa Tanzania ?
Riba kwenye jamii yetu haiepukiki hasa ukiwa mfanyabiashara mkubwa na mpenda mikopo
 
Back
Top Bottom