navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Unaweza kutumia fixed account yako kama dhamana kukopa mpaka mara 3 ya kiasi ulichonacho kwenye account yakoEquity asilimia zake zikoje mkuu
Posta bank wanatoa 11% kwenye fixed account.Sina hakika kama kuna benki bongo kwa hela yake wanaweza kumpa zaidi ya 7%