Ni betri gani nzuri kwa gari aina ya IST?

Mel James

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
356
Reaction score
290
Habari wandugu,

Naulizia betri nzuri kwa gari Tajwa hapo juu na gharama zake.

Sijawahi kubadili betri toka imefika.
 
Chloride exide Ile Maintenance Free kuanzia N45 ukizidisha make sure inafit hapo kwenye nafasi ya battery, bei inarange kwenye 120-150
Thanks
 
Mkuu habari vipi, hapo sasa inategemea na budget yako. Kuna makabila ya betry za magari zinapatikana kariakoo na kuna makabila ya betry hayapatikani kariakoo yanapatikana kisutu kule.

Hizi za kkoo ndio kama ulizotajiwa hapo juu na nyingi ni za Kichina na bei yake imepoa na hazina guarantee ila hizi za kisutu ni makabila kama amaron, liveguard, wavta nk na unapewa na guarantee ila bei yake imeamka kidogo na ukienda na betry yako ya zamani unapunguziwa bei.

Kila la heri mkuu.
 
Asante sana nashukuru mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…