Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Kuna zingine zimezidi. Unakuta katika watu mia, wanaobaki na biashara baada ya mwaka, au wanaopiga faida ni kama 20 tu.Kila biashara ukiingia kichwa kichwa lazima kikulambe
Uuzaji wa nguo special za low quality from chinaNi biashara gani au mradi gani hapa Tanzania unaongoza kwa kufelisha watu. Yaani unakuta biashara ndani ya mwaka inafungwa sana.
Ni mradi gani ambao watu wengi wakiufanya huangukia pua? Pia ni mradi na biashara gani ambayo ina failure rate ndogo ndani ya mwaka mmoja?
Hii haijawahi kumuangusha mtuBiashara ya nguo hasa za dukani usipokuwa na backup plan unafunga mapema
Biashara naona watu wanatembea nayo kwa miaka na miaka ni chakula
Hizi ni uzushi sana.Technology,sijui app, website..utasanda
Saloon kwanini....si haina maintenance cost kubwa? Nadhani kikubwa ulipaji wa pango....naulizaKilimo Cha simu usijaribu..
Saloon za kike.. kama mmiliki hujui chochote utafunga tu.......
hii biashara inaabidi ukifungua usimtegee unayemuweka na wewe uwe fundi utatoboa, ukifungua hujui kitu wafanyakazi wake ni pasua kichwa ....Saloon kwanini....si haina maintenance cost kubwa? Nadhani kikubwa ulipaji wa pango....nauliza
Kusoma UDSM kisha kutegemea kugongwa na mafala wa mjini ili uishi mjini hio biashara inafelisha sana mwisho unaishia kunyolewa nywele na kisu na Wahuni waliokubuhuNi biashara gani au mradi gani hapa Tanzania unaongoza kwa kufelisha watu.
Kipi kinafelisha hii mkuu ilhali hii ni moja kati starehe kubwa kwa wengi?Bar za vinywaji changamishi
Liqour storeLiquor store, Bar
Usijaribu
Inabidi ukifungua na wewe uwe master kiraka km muuza genge la nyanya za kujumua Mabibo Mahakama ya Ndizihii biashara inaabidi ukifungua usimtegee unayemuweka na wewe uwe fundi utatoboa, ukifungua hujui kitu wafanyakazi wake ni pasua kichwa ....