Inabidi uwe na kagroup kako ka watu unaowanywesha hata kwa mkopo bila hivyo utafunga tu yaan ni wale unawanywesha kila siku ukipata hata 100 hivi biashara haifi ila usipokua nao biashara haichukui round utapiga komeoKipi kinafelisha hii mkuu ilhali hii ni moja kati starehe kubwa kwa wengi?
Inategemea namna ya uendeshaji......hii biashara inaabidi ukifungua usimtegee unayemuweka na wewe uwe fundi utatoboa, ukifungua hujui kitu wafanyakazi wake ni pasua kichwa ....
Ukawa unawasuka na wewe au ilikuaje wakawa wanakuulizia wanataka uwasuke zaidi na zaidi?Inategemea namna ya uendeshaji......
Hii ilikuwa biashara yangu ya pili....nilianza na chakula.
Chakula inakazi saana...kila kitu nilifanya mwenyewe...nilichoka haswa.
Saloon nilifanya kwa commission weka wasusi wanakulipa kwa asilimia....
Tatizo ilinigombanisha na wife...... wanawake utakutana nao kama wote. Wakishasukwa wanataka wanataka kujua anayemiliki ofisi...nadhani unaujua umbea wa Saloon za kike.
Mfano kama hawajapata huduma nzuri watataka wakufikie.Ukawa unawasuka na wewe au ilikuaje wakawa wanakuulizia wanataka uwasuke zaidi na zaidi?
Shida inakuja msusi akishazoeleka ,akiondoka anaondoka na wateja wote, mpaka ulete mwingine azoeleke ni kama unaanza biashara upyaInategemea namna ya uendeshaji......
Hii ilikuwa biashara yangu ya pili....nilianza na chakula.
Chakula inakazi saana...kila kitu nilifanya mwenyewe...nilichoka haswa.
Saloon nilifanya kwa commission weka wasusi wanakulipa kwa asilimia....
Tatizo ilinigombanisha na wife...... wanawake utakutana nao kama wote. Wakishasukwa wanataka wanataka kujua anayemiliki ofisi...nadhani unaujua umbea wa Saloon za kike.
Kwa hio ukawa unawasuka na kuwapa huduma nzuri na mkeo hakuweza kujua au alijua kua hapa kuna jambo linaendelea hapa?Mfano kama hawajapata huduma nzuri watataka wakufikie.
Ukiwasiliana nao mkeo akajua ....you are in trouble.
Ndiyo hili ni tatizo kubwa.Shida inakuja msusi akishazoeleka ,akiondoka anaondoka na wateja wote, mpaka ulete mwingine azoeleke ni kama unaanza biashara upya
Ni biashara nzuri stress za wafanyakazi nilifunga nikauza Kila kitu...
Msusi anasepa na kijiji kijiwe anakihamisha chote maana wakija watamuulizia yeye sio wewe km hayupo wanaingia mitiniShida inakuja msusi akishazoeleka ,akiondoka anaondoka na wateja wote, mpaka ulete mwingine azoeleke ni kama unaanza biashara upya
Ni biashara nzuri stress za wafanyakazi nilifunga nikauza Kila kitu...
Kuwanywesha kwa pesa yako si ndio mwanzo wa kujifilisi huo?Inabidi uwe na kagroup kako ka watu unaowanywesha hata kwa mkopo bila hivyo utafunga tu yaan ni wale unawanywesha kila siku ukipata hata 100 hivi biashara haifi ila usipokua nao biashara haichukui round utapiga komeo
Biashara yoyote inaweza Kuwa mbaya au nzuri.... Ili biashara Ichanue lazima uwe na uelewa WA biashara husika...uvumilivu... Mwendelezo ( consistence) .... Uwezo WA kujenga Jina na kumaintain Jina Lako ( branding and good customer care and networking).Ni biashara gani au mradi gani hapa Tanzania unaongoza kwa kufelisha watu. Yaani unakuta biashara ndani ya mwaka inafungwa sana.
Ni mradi gani ambao watu wengi wakiufanya huangukia pua? Pia ni mradi na biashara gani ambayo ina failure rate ndogo ndani ya mwaka mmoja?
Changamoto aiseeMsusi anasepa na kijiji kijiwe anakihamisha chote maana wakija watamuulizia yeye sio wewe km hayupo wanaingia mitini
Wapo wanaofanya hivyo na wanatoboa mwisho wa mwezi akaunti zinacheka pesa zote zinakuja kwako bila wasi km sio mzoefu hii usifanye inafanywa kwa watu wenye hadhi tu sio chakaramu wasiojua hela watatoa wapiKuwanywesha kwa pesa yako si ndio mwanzo wa kujifilisi huo?
Hii inawezaje kuindeleza bar yako?
Saloon ni usimamiz na location...ukiwa mmiliki ndo msimamiz au mtoa huduma na location ni nzur pesa unaiona.Saloon kwanini....si haina maintenance cost kubwa? Nadhani kikubwa ulipaji wa pango....nauliza