Ni biashara gani inalipa ukipeleka SONGOSONGO au LINDI?

alexxis

Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Naomba msaada wa ushauri waungwana.Ni biashara gani ukipeleka haya maeneo inalipa sana.
 
Kwa lindi mzunguko wa fedha ni mdogo sana, labda ungeeleza biashara ulizonazo dkukushauri kukushauri
 
Songosongo ni kisiwa na ni bora uende kufanya utafiti kabla hujapeleka chochote
 
Peleka kanzu, majuba, misuli, mitandio, hijab, na marashi ya ki ustaadh na maustaadhat. Usisahau udi na ubani. Utatoka ndani ya muda mfupi.
 
asante sana mkuu.na vipi mzunguko wa pesa kwenye kisiwa cha songosongo
 
Back
Top Bottom