Fanya hivi, nunua boda boda zako tatu wape vijana waaminifu unaowafahamu wapige mzigo, kwa siku watakuletea mkate mmoja,sukari 1kg + 8,000 *3 =24,000 kwa mwezi ni kama 720,000 hapo wanajilipa wenyewe na mafuta wanaweka wenyewe we utahakikisha servise inafanywa kwa wakati, wakati huo unakaa nyumbani tu miguu kwenye sofa remote mkononi na coca badiri pembeni na papcorn...!

Kiongozi, ka idea kazuri...Hivi bodaboda inauzwa bei gani?
duuh! Mkuu, boda boda tatu tu ndio ukae miguu juu!!
Bodaboda nzuri nazo zijua zinaitwa SAN LG na ukipata ile ya bomba moja ni nzuri zaidi maana haili mafuta sana na spea zake ziko kila kona, bei zake ni 1.5M kwa huku mikoani lakini kwa dar nazani inaweza kuwa pungufu ya hapo, pia kuna aina nyingine inaitwa BOXER ni nzuri ninadumu kwa muda mrefu sana kwa mzigo nazikubali pia bei yake ni ndogo 1.2 mpaka 1.6
Hahaha...pale Muhimbili kuna wodi imebatizwa jina SAN LG....hiyo ni spesho kwa watu waliovunjika miguu kwa ajali ya bodaboda.
1.2m napata tukutuku ya kunipa hela ya biya kila siku.....ngoja ni do the needful.
Fanya hivi, nunua boda boda zako tatu wape vijana waaminifu unaowafahamu wapige mzigo, kwa siku watakuletea mkate mmoja,sukari 1kg + 8,000 *3 =24,000 kwa mwezi ni kama 720,000 hapo wanajilipa wenyewe na mafuta wanaweka wenyewe we utahakikisha servise inafanywa kwa wakati, wakati huo unakaa nyumbani tu miguu kwenye sofa remote mkononi na coca badiri pembeni na papcorn...!
Mkuu sukari kilo tatu kila siku sio nyingi sana kwa familia ya kawaida? Na isitoshe kwa kuisindikiza na mikate 3 tu?
Idea nzuri lakini...
Mkuu sokwe, mkate ba sukari ni mfano tu lakini inategemea na ukubwa wa familia pia, mmoja anaweza akawa analeta mkate kila siku, mwingine sukari mara 3 kwa wiki na mwingine dumu kubwa la maji ya kunywa kwa wiki mara 2 kwa wale tunao nunua maji ya kunywa kama huku kwetu. imekaaje hii...?
Fanya hivi, nunua boda boda zako tatu wape vijana waaminifu unaowafahamu wapige mzigo, kwa siku watakuletea mkate mmoja,sukari 1kg + 8,000 *3 =24,000 kwa mwezi ni kama 720,000 hapo wanajilipa wenyewe na mafuta wanaweka wenyewe we utahakikisha servise inafanywa kwa wakati, wakati huo unakaa nyumbani tu miguu kwenye sofa remote mkononi na coca badiri pembeni na papcorn...!
Biashara ni ngumu sana, inataka usimamizi wa hali ya juu, usipokuwa makini utabaki kusimulia kuwa nilikuwa na 5m/= juzi juzi zimekwisha, ukiweza weka kwenye fixed deposit, kama bado ipo, then tulia tuli.
consult entepreneur at udsm school of bussiness
Duh! mkuu jamani hata kainterest kabiashara yeyote huna jamani! Ok jaribu kufikiria biashara hii and make sure umefanya survey katika eneo unapo ishi. Kama uko Dar buy mitungi ya gas 30 ya kilo 15 and 30 ya kila 6. (Biashara ya domestic Gas inalipa sana hapo Dar) Sasa ifanye kwa style tofauti. Weka M-Pesa pia hapo kwako. Pia kodisha pikipiki moja kwanza (most of the owners wa pikipiki they need elfu 6 kwa siku, kwa mwezi ni 180,000) kijana wa kuedesha pikipiki kubaliana nae. anatakiwa afanye kazi within maeneo ya ofisi yako. Use him to do "Cooking Gas home delivery" whereby mteja will just make a call anytime then anatao direction alipo so kijana wako will just deliver Gas within 15min. Print vipeperushi visambaze katika eneo unapo ishi au ofisi yakoilipo. Sehemu nzuri ya kusambazia vipeperushi kama hivyo ni karibu na misikiti au kanisa baada ya ibada, jumapili au Ijuma. Therefore kutokana na faida ya mitungi ya 15kg if you can distribute mitungi yote 30 in a day it means you have not less than 65,000 unlike mitungi ya 6kg. Kuhusu M-Pesa, it won't be a must for a customer to pay cash hata akiwa na M-Pesa you do accept lakini you have to charge kama vile atakavyo taka cash. Therefore mteja akiwa ofisini akijulishwa Gas imeisha will just send you M-Pesa then unadeliver Gas nyumbani kwake. Guys hapo Dar there is alot of businesses but one has to be so creative and business oriented. To deal with biashara ya huduma kwa jamii it pays alot. Mkuu huwezi poteza pesa yako ila am very sure demand ndio itakushinda usipo kuwa makini.
try to check Africa Do Business, Start a Business in Africa, Best places to invest in AfricaWana jf, naombeni msaaada wa biashara gani inafaaa? kufanya...! nna mtaji wa kama m5 hivi bt stil sijajua ni bzness gani nitafanya...msaada wa mawazo jamani.