Ni biashara gani naweza kufanya shuleni?

Ni biashara gani naweza kufanya shuleni?

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
1,143
Reaction score
2,475
Wakuu nafikiria ni biashara gani unaweza ifanya shuleni yaani ikawa inajulikana na wanafunzi na walimu wao

Mfano sku hz wanafunz wanapewa uji shulen kuna mama mmoja nlimuona shule moja ya secondary akaomba oda ya kupeleka maandaz kwamba masufuria ya uji yakipangwa naye kaweka pemben sufuria la maandaz mwanafunz akichukua uji anapta na kwny maandaz akiwa na hela ananunua na imezoeleka hivyo hapo shuleni.

Sa naomb tupeane michongo tunayoweza ifanya official mashulen kwan nina mpango wa kwenda kuzungumza na mkuu wa shule moja khs kufanya jambo la kuhudumia wanafunz bt bado sjapata idea.

Uzuri mi nina uwezo mzuri wa kufundsha masomo ya history, geography, civics, literature kwaiyo akinipa nafas ya kufanya jambo la kupga hela la kibiashara mi tamwambia tajitolea kufundsha masomo hayo bure sku moja moja. Haya toeni idea wakuu ktaa kigumu sana.
 
Back
Top Bottom