Ni biashara gani naweza kuifanya kwa Mtaji wa million 25

Milioni 25 uwekeze kichwakichwa kwenye biashara ya kuambiwa lazima uumie. Biashara ni wito, ni kujitoa, ni malengo, maono.
Sasa wewe huna wito wa kuuza spare kwa mfano, au wito wa kuuza vyakula, au gadgets. Ghafla unashawishika na mtu hapohapo ukiwa na hela mkononi, unakurupuka kuanza bila upembuzi makini sababu unaona unachelewa hela utaitumia. Kisa una hela basi unajilipua.

Tafuta biashara kwa theory, ujifunze practically. Toa hata 5M ya kujifunzia ukiona umeikuza ndio uendelee kuongeza kutoa kwenye ile 20M iliyobaki. Bora kuweka 20M fixed benki kwa 6 months uambulie interest kidogo ila hela iwe salama kuliko kuwekeza yote baadae ukapiga yowe.
 
20m iende UTT kwa mwezi atapata ongezeko km la 150-190k hv, hiyo 5m ndo ajilipue nayo
 
Back
Top Bottom