Ni Biashara gani unaweza kutoa Zanzibar na kuuza Bara na ikaweza kukulipa kwa haraka?

Mudhamil

Senior Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
159
Reaction score
89
Habar Zenu wadau Naomba msaada kujua kwenye hilo nililouliza kama tittle inavyosema apo juu Nawasilisha Ahsanteni

Unaweza kutag watu mbali mbali waje watusaidie juu ya suala langu ilo apo
 
Zanzibar wanachukua vitu bongo. Hiyo ilikuwa zamani siku hizi sidhani kama kuna kitu cha kutoa znz.uchumi wenyewe uko wapi wanategemea kuagiza kila kitu? Naomba uniamini
 
Labda ubuyu [emoji1] [emoji1]
 
Nimekaa Znz miaka miwili na ndio nimerudi October last year, shida siku hizi utalipa ushuru Znz na ukifika hapa unalipa tena ushuru Uleule. Karibu lakini utakuja ukubali ninachokisema
Me nataka nijue tu ni Biashara gan ambayo ukitoa Znz Bongo inauza sana ilo suala la ushuru ntajua nipambane nalo vpee
 
Ndio...urojo. Kama upo Dar ukifika Kimanga mwisho kwa mpemba utapata urojo na kachori
Me sjazungumzia bi biashara gan iliyopo Znz na bongo ipo nimezungumzia ni biashara gan ukitoa Znz na kuuza bongo unapiga hela kwa haraka
 
Habar Zenu wadau Naomba msaada kujua kwenye hilo nililouliza kama tittle inavyosema apo juu Nawasilisha Ahsanteni

Unaweza kutag watu mbali mbali waje watusaidie juu ya suala langu ilo apo
Kama mna madiwani wazuri wanauzika vizuri tu huku bara.
 
Nilifata used fridhe kwa ajili ya mini super market nilijuta bora hata ningenunua hukuhuku dar
 
Back
Top Bottom