kimara Kimara
Member
- Jul 7, 2024
- 80
- 173
AsanteKuchoma dawa wanyama majumbani.
Kuuza kitimoto.
Udalali magari.
KUuza simu used
Kuuza nguo za dukani
Msaada kiongozi ballo za nguo aina gani zinauzika zaidi?Sehemu ambayo nilipigia hela NI hapa...kufungua ballo za mitumba....ujue kuuza...narudia ujue kuuza....hakuna Bei elekezi....biashara za computer kusaidia watu kuapply au kuitengeneza doc mbalimbali...hazina Bei elekezi zipo nyingi ukishaingia field nyingi huwa deal garama au hazipo rasmi watakufunza wateja waliona unaziweka....