mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Umemuita secretarybird hatabiriki kichwa chake anakijua yeye tu anaweza akaja na ushauri mzuri au akasema kitu 😁
Huu ni kati ya ushauri nisio ukubaliFanya kitu ulichokizoea chenye kukupa faida achana na mawazo ya biashara gani nzuri yenye faida kubwa. Utakuja kulia Bure, mara nyingi lakini sio asilimia zote faida ni uzoefu wa biashara ndio maana katika kila biashara kuna wanaopiga pesa na Kuna wanaopoteza mtaji.
Huu ushauri wa mgahawa sawa ila huu wa pili ndugu muomba ushauri anapoishi kuna magorofa marefu sana Kwahiyo haumfai 😅😅😅Umemuita secretarybird hatabiriki kichwa chake anakijua yeye tu anaweza akaja na ushauri mzuri au akasema kitu 😁
Mi naona biashara inategemeana na mtu inaweza kukubali kwa hyu na ikakataa kwa mwingine ila mimi ningefungua ki mgahawa ka kiana. Au ampe barcelona na moroco over 2.5 alafu amuue man u apige mil 100 kuendelea 😅
40m ni mtaji mzuri hapo anzisha min hardware hapa utakua unauzaWaungwana naomba munisaidie mwenzenu nimejichanga na kupata TZS 40,000,000/ ila kwa kweli nimeshidwa kuona ni Biashara gani ya kufanya
Naomba msaada kwenye tuta wasichana wasije kuchungulia mifuko yangu
Umemuita secretarybird hatabiriki kichwa chake anakijua yeye tu anaweza akaja na ushauri mzuri au akasema kitu 😁
Mi naona biashara inategemeana na mtu inaweza kukubali kwa hyu na ikakataa kwa mwingine ila mimi ningefungua ki mgahawa ka kiana. Au ampe barcelona na moroco over 2.5 alafu amuue man u apige mil 100 kuendelea 😅
Wakuu, someni hiki kilichonikuta hapa chini 👇 miaka ya nyuma baada ya kuomba ushauri kwa motivational speaker 🔊.
BitcoinWaungwana naomba munisaidie mwenzenu nimejichanga na kupata TZS 40,000,000/ ila kwa kweli nimeshidwa kuona ni Biashara gani ya kufanya
Naomba msaada kwenye tuta wasichana wasije kuchungulia mifuko yangu
Tulia kwanza na usiwe mwepesi kushawishiwa na biashara zenye faida nono bila kuambiwa changamoto zakeWaungwana naomba munisaidie mwenzenu nimejichanga na kupata TZS 40,000,000/ ila kwa kweli nimeshidwa kuona ni Biashara gani ya kufanya
Naomba msaada kwenye tuta wasichana wasije kuchungulia mifuko yangu
Kama huna uzoefu na biashara, basi ni bora hiyo hela ukaenda kuiweka benki kwenye fixed account mpaka pale utakapokuwa na wazo la uhakika. Au kama unaweza kuwekeza kwenye real estate kwa kujenga nyumba ya viwango vizuri, halafu upangishe.Waungwana naomba munisaidie mwenzenu nimejichanga na kupata TZS 40,000,000/ ila kwa kweli nimeshidwa kuona ni Biashara gani ya kufanya
Naomba msaada kwenye tuta wasichana wasije kuchungulia mifuko yangu