Clack-Sniper
Member
- May 16, 2025
- 39
- 75
YesKaanzishe biashara ya hardware kwenye mji mpya unaoanza kukua kwa kasi huko kidogo naona kuna low risk kuzika mtaji wako ukabaki salama.
Hahahahhaππ kwamba secretarybird atoe ushauri wa biashara au
Ana Idea zake Kali π π πHahahahhaππ kwamba secretarybird atoe ushauri wa biashara au
Miji mipya inayokuwa sasahivi hapa Tanzania ni Katoro na KahamaKaanzishe biashara ya hardware kwenye mji mpya unaoanza kukua kwa kasi huko kidogo naona kuna low risk kuzika mtaji wako ukabaki salama.
Niliposema biashara aliyoizoea ni kwa sababu mtu anajua changamoto zake hivyo ni rahisi kuzitatua. Nashukuru umeongeze kuhusu location na mie nasema mtu anakuwa anajua wapi apate mzigo kwa bei nafuu na nikipindi gani bidhaa zinatoka sana na aina gani ya bidhaa inafaida.Huu ni kati ya ushauri nisio ukubali
Kwa hiyo kama mtu alikuwa anauza Baiskeli akaona hazilipi aendelee kuuza hizo hizo kwa kuwa amezoea?
Faida ya biashara hutegemea; Eneo, Eneo, Eneo ulipo, na vitu vingine kama ukubwa wa mtaji, Kujitangaza, ushindani uliopo na uwezo wa kuisimamia
Unaonaje tukianzisha biashara ya mikopo ila kwa mtaji wa Milioni 10 tu kwanza.Waungwana naomba munisaidie mwenzenu nimejichanga na kupata TZS 40,000,000/ ila kwa kweli nimeshidwa kuona ni Biashara gani ya kufanya
Naomba msaada kwenye tuta wasichana wasije kuchungulia mifuko yangu
kama wewe ndo umetoa huu ushauri basi secretarybird atakuja na ushauri wa ajabu zaidi. maana mimi nilitegemea wewe ndo afadhali kidogoUmemuita secretarybird hatabiriki kichwa chake anakijua yeye tu anaweza akaja na ushauri mzuri au akasema kitu π
Mi naona biashara inategemeana na mtu inaweza kukubali kwa hyu na ikakataa kwa mwingine ila mimi ningefungua ki mgahawa ka kiana. Au ampe barcelona na moroco over 2.5 alafu amuue man u apige mil 100 kuendelea π
uza sigara za jumla weka 30mWaungwana naomba munisaidie mwenzenu nimejichanga na kupata TZS 40,000,000/ ila kwa kweli nimeshidwa kuona ni Biashara gani ya kufanya
Naomba msaada kwenye tuta wasichana wasije kuchungulia mifuko yangu
Mkuu ona kilichonikuta miaka ya nyuma baada ya kuwasikiliza motivation speakers.kama wewe ndo umetoa huu ushauri basi secretarybird atakuja na ushauri wa ajabu zaidi. maana mimi nilitegemea wewe ndo afadhali kidogo
anyway, me naona aendelee kufanya hicho kilichompa 40m
Hahah ulikosea sehemu ndogo sana, ni kweli ilikuwa ni fursa ila wewe ungeenda kununua ARV uwauzie, badala yake ukaenda kuagiza mabalo ya condom dah πππMkuu ona kilichonikuta miaka ya nyuma baada ya kuwasikiliza motivation speakers.
Ina π
Ilikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-
"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".
Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.
Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha...
- secretarybird
- biashara kondomu motivational speaker
- Replies: 119
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Hahaha π, niliumia sana mkuu.Hahah ulikosea sehemu ndogo sana, ni kweli ilikuwa ni fursa ila wewe ungeenda kununua ARV uwauzie, badala yake ukaenda kuagiza mabalo ya condom dah πππ
hiki kichwa πππ