Ni biashara ipi inayofaaa kwa kianzio cha laki 5?

Ni biashara ipi inayofaaa kwa kianzio cha laki 5?

Nafikiri nunua kuku tetea 20. Uanze kufuga
 
Nenda ferry nunua dagaa wabichi njoo uwakaushe na kuwabanika. Then tafuta soko uuze kama dagaa wa kigoma.
 
Back
Top Bottom