slow_learner
Senior Member
- Nov 24, 2016
- 139
- 110
Uza matunda kama wale wadada wa kariakoo.Habari wana JF.
Natumia Kila mmoja Wenu yuko vizuri.
Mimi nahitaji mtu wa kunishauri nifanye biashara ipi kuanzia mwezi April kwa mtaji wa TZS 70,000.
Sijawahi kufanya biashara na wala sina ujuzi wowote namna ya kusimamia biashara hiyo nitakayoianzisha.
Nahitaji mtu wa kunisaidia ni kitu kipi nifanye ili na Mimi niweze kuwa miongoni Mwa wajasiriamali wanaojitegemea kwa mtaji.
@nimechokakusaidiwakilakitu[emoji120] [emoji120]
Asante sana kwa ushauri wako mzuri.Uza genge la Nyanya na matunda, kodi la mtu yeyote kwa siku uwe unamlipa hata buku zinazobaki uwe unafata matunda kila alfajiri na kuuza kutwa
Ndiyo mtaji wangu Maana naiuza.70,000.?unatumia cm ya sh ngapi?