Joseph Mwaluanda Member Joined Jan 19, 2014 Posts 15 Reaction score 5 Nov 21, 2017 #1 Ndugu wana jukwaa ningependa kupata elimu kutoka kwenu kwamba ni biashara ya ukubwa gani inapaswa kukatiwa lesseni ya biashara, lakini zaidi natamani kufaham ni pato kiasi gani kwenye biashara linapaswa kulipiwa kodi ya mapato kwa mwaka,,!!
Ndugu wana jukwaa ningependa kupata elimu kutoka kwenu kwamba ni biashara ya ukubwa gani inapaswa kukatiwa lesseni ya biashara, lakini zaidi natamani kufaham ni pato kiasi gani kwenye biashara linapaswa kulipiwa kodi ya mapato kwa mwaka,,!!
Jumaaofficial JF-Expert Member Joined Oct 12, 2017 Posts 250 Reaction score 209 Nov 21, 2017 #2 Ngoja waje