Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Inafahamika, kupeleka vitu vyetu tulivyovitengeza sisi wenyewe katika masoko ya nje, vitatuingizia fedha za kigeni, pamoja na kuimarisha uchumi.
Tuna baadhi ya viwanda hapa nchini, ila sijajua ni bidhaa zipi wanazozalisha na kuzipeleka kwenye masoko ya nje, kama; Ulaya, Urusi, Marekani, China na huko kwingineko.
Ingawa kwenye masoko ya ndani (ya kutumia Tshs), bidhaa zinaonekana.
Karibuni wakuu, kwa mjadala.