Ni bidhaa zipi zisizo na kodi?

Ni bidhaa zipi zinazoingia ndani ya Tanzania kutoka nje ya nchi bila kodi Tanzania? Kwa mfano pedi za wanawake nasikia hazina kodi ila sijaprove.
hakuna imported bidhaa ambayo haina

Nyingi ambazo kodi yake ni nafuu huchajiwa 0%
 
Dawa za kupunguza makali ya VVU (ARV) na baadhi ya madawa hayana kodi, Grants & gifts (Bidhaa tunazopewa kwa msaada au zawadi toka nchi nyingine) nyingi hazina kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…