Hawezi kulala bila kupata kinywaji yule au isije ikawa umempa lile tunda akala, akalala?Ongea taratibu asisikieee....
We njoo kalala
We ntakunyoa nywele bila sabuni wala maji toa namba uone[emoji23][emoji23][emoji23]Sema suuu....
Wewe ndo unafanya mambo yawe magumu!Ufikishaji wa hii zawadi umekua mgumu sana!
Kungekua na JF Pesa ingekua safi sana
Basi ngoja nitaifuata mwenyewe!Wewe ndo unafanya mambo yawe magumu!
HahahahaWe ntakunyoa nywele bila sabuni wala maji toa namba uone[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc Asprin
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kulala bila kupata kinywaji yule au isije ikawa umempa lile tunda akala, akalala?
Sent using Jamii Forums mobile app
We sema hunipi tuuBasi ngoja nitaifuata mwenyewe!
Hahaha hahaha hahaha hahahaWe ntakunyoa nywele bila sabuni wala maji toa namba uone[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc Asprin
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu mambo ni mengi siku hizi[emoji16][emoji16]Hahahaha
Mkuu naona unaimarisha ulinzi!
Hayo mambo ya huko mjini ila sie wa huku Namtumbo huwa miaka inakwenda tu. 😂😂Nami nakisubiria iko kikokoteo nikione kama kimesonga mbele au kimestick pale km cha wema sepetu miaka yote kipo 28 [emoji23]
[emoji2][emoji2]Hayo mambo ya huko mjini ila sie wa huku Namtumbo huwa miaka inakwenda tu. [emoji23][emoji23]
Da nashukuru pia nashukuru kwenye nyoote mmenipa malike ya kufa mtu- Birthday yangu imekuwa nzuri, asanteni kwa upendo.