milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,284
- 8,431
Hajali swala la image mwenzakoMama Raisi wangu mpendwa Sina cheo chochote serikalini,Sina kipato Cha kuridhisha,kunipa jeuri yoyote mbele ya wenye pesa na jeuri,nikuombe mama Samia,maoni yangu na hisia zangu,yaruhusu maandamano ya wapinzani watoe ya moyoni mwao,baada ya hapo upande unaonyoshewa vidole ukubali kujisahihisha, ikitokea ukazuia maandamano hayo,hasara ni nyingi na image ya nchi itachafuka zaidi
Huu ni muendelezo wa ndoto na matamanio ya nafsi zenu. Kimsingi Maandamano yalishazimwa kitambo tu. Tarehe 23 Sept ni sku kama siku nyengine, inategemea na hali ya hewa ya nchi, mawio na machweo. Poleni sana kwa ukweli huo ulio mchungu kwa baadhi yenu.Ni bora kuruhusu maandamano kuliko hali ilivyo sasa nchini. Maandamano ni njia muhimu ya kuwakilisha hisia na malalamiko ya wananchi. Hata hivyo, kuna hisia kwamba watu sasa hawataki kusikia kuhusu Nyerere, hasa kutokana na masuala ya muungano. Hii inadhihirisha jinsi mabadiliko ya kisiasa na kijamii yanavyoweza kubadilisha mitazamo ya watu.
Katika mazingira ambayo raia wanahisi hawana sauti, kuna hatari ya kutokea machafuko na kukosekana kwa amani. Ni muhimu kwa viongozi wa serikali kukubali kwamba kuna hisia tofauti na kutafuta njia za kuwezesha majadiliano.
Kama serikali inajaribu kupuuza upepo, ni vigumu kudumisha amani bila kukubali ukweli wa hali ilivyo. Kila mtu anapaswa kuwa na nafasi ya kutoa mawazo yake bila hofu. Hali ya sasa inaweza kupelekea kukosekana kwa umoja na ushirikiano katika jamii.
Kwa hivyo, ni vyema kuimarisha haki za raia na kuruhusu maandamano kama njia ya kujenga taifa lenye mshikamano na maelewano.View attachment 3102300
Safi Sana, halina faida,Ni bora kuruhusu maandamano kuliko hali ilivyo sasa nchini. Maandamano ni njia muhimu ya kuwakilisha hisia na malalamiko ya wananchi. Hata hivyo, kuna hisia kwamba watu sasa hawataki kusikia kuhusu Nyerere, hasa kutokana na masuala ya muungano. Hii inadhihirisha jinsi mabadiliko ya kisiasa na kijamii yanavyoweza kubadilisha mitazamo ya watu.
Katika mazingira ambayo raia wanahisi hawana sauti, kuna hatari ya kutokea machafuko na kukosekana kwa amani. Ni muhimu kwa viongozi wa serikali kukubali kwamba kuna hisia tofauti na kutafuta njia za kuwezesha majadiliano.
Kama serikali inajaribu kupuuza upepo, ni vigumu kudumisha amani bila kukubali ukweli wa hali ilivyo. Kila mtu anapaswa kuwa na nafasi ya kutoa mawazo yake bila hofu. Hali ya sasa inaweza kupelekea kukosekana kwa umoja na ushirikiano katika jamii.
Kwa hivyo, ni vyema kuimarisha haki za raia na kuruhusu maandamano kama njia ya kujenga taifa lenye mshikamano na maelewano.View attachment 3102300
Unaweza ukachukulia haya mambo kawaida sana Ila kiukweli mambo kwa ground ni moto sana na tena walichokosea serikali ni kuruhusu hii boycott ya Maaskari Dar nzima………HiI imewapa CHADEMA umaarufu,ata Kama mtu alikuwa hana Habari na maandamano,anakwenda kuwa na taarifaHuu ni muendelezo wa ndoto na matamanio ya nafsi zenu. Kimsingi Maandamano yalishazimwa kitambo tu. Tarehe 23 Sept ni sku kama siku nyengine, inategemea na hali ya hewa ya nchi, mawio na machweo. Poleni sana kwa ukweli huo ulio mchungu kwa baadhi yenu.
Kabisa!Ni bora kuruhusu maandamano kuliko hali ilivyo sasa nchini. Maandamano ni njia muhimu ya kuwakilisha hisia na malalamiko ya wananchi. Hata hivyo, kuna hisia kwamba watu sasa hawataki kusikia kuhusu Nyerere, hasa kutokana na masuala ya muungano. Hii inadhihirisha jinsi mabadiliko ya kisiasa na kijamii yanavyoweza kubadilisha mitazamo ya watu.
Katika mazingira ambayo raia wanahisi hawana sauti, kuna hatari ya kutokea machafuko na kukosekana kwa amani. Ni muhimu kwa viongozi wa serikali kukubali kwamba kuna hisia tofauti na kutafuta njia za kuwezesha majadiliano.
Kama serikali inajaribu kupuuza upepo, ni vigumu kudumisha amani bila kukubali ukweli wa hali ilivyo. Kila mtu anapaswa kuwa na nafasi ya kutoa mawazo yake bila hofu. Hali ya sasa inaweza kupelekea kukosekana kwa umoja na ushirikiano katika jamii.
Kwa hivyo, ni vyema kuimarisha haki za raia na kuruhusu maandamano kama njia ya kujenga taifa lenye mshikamano na maelewano.View attachment 3102300
Tusiwalaumu kabisa Polisi hao ni Ndugu zetu, inawezekana mambo mengine hawapendi lakini ndivyo viapo vyao vinavyosema kutii amri. Labda sasa wao nao watumie busara ya kutoumiza watu wasiofanya fujo yoyote. Njaa na shida wanakumbana nayo kama Watanzania wengine na inawezekana wanatamani mabadiliko ili maisha yawe mazuri zaidi.Safi Sana, halina faida,
Leo nimeona polisi wengi Sana wamekaa kihasara hasara maeneo ya Oyster Bay Dar, nikaenda kukaa kwa mama ntilie nipate msosi,nikakuta Afande mmoja yupo bize na simu,
Nikaagiza msosi, Yule Afande akamuita Muhudumu, akamuuliza kwa sauti ndogo, "eti kwa buku tatu, naweza kupata chakula gani,? Pilau, au, ugari na kuku? "
Ile sehemu ni mabanda tu, msosi ni nafuu Sana, hawa askari wa samia, ni, wa kuonea huruma Sana,
Wengi wamekuja Dar Kenya study your,