Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 278
- 255
Kampeni za Uchaguzi 2025 zitatawaliwa na wapinzani kuahidi kuleta Katiba Mpya mara watakaposhinda! Kwa sasa WaTanzania wanataka Katiba Mpya na kumfunga Mbowe kunachochea Zaidi mjadala huo.
Kwa kuwa CCM wameshindwa kuwawezesha wananchi kiuchumi - shida zimekuwa nyingi kupita kiasi , maisha ya WaTanzania yamekuwa duni sana - kila siku haina matumaini hata mimi na kiofisi change hapa Kiomboi ninaona hali ni ngumu mnoooo.
Kila uchaguzi CCM wamekuwa wakiahidi kutuwezesha kuwa na maisha bora lakini sera na ilani zao vyote vimeshindwa kutufanyia kwa mujibu wa ahadi zao.
CCM wenzangu hawajachoka wanaendelea na mambo hayo hayo ya kuahidi kutuwezesha. TUMECHOKA sana sana.
Ninachohitaji kwa sasa nina Katiba mpya ambayo italeta demokrasia ya maamuzi sio kuamuliwa kwa nguvu. Dkt. Mwigulu mwaka jana amenitumia mie mwenyewe kuiba Uchaguzi na sasa ninajuta kwa yeye kutotekeleza alichoniahidi.
Nimeona sasa ni vema tuwe na demokrasia ya kweli. Demokrasi ya kweli italetwa na Katiba Mpya - ubabe wa akina Mwigulu na kufuru za kifedha zifike mwisho.
Watakaoahidi kutupatia Katiba mara baada ya Uchaguzi tutawapa kura na tutazilinda zisiibwe. CCM tuendelee kuzuia tu, mwisho wetu umefika.