Salamu, wapendwa,
Miaka imekuwa mingi sana sasa nimekuwa nikishi kwenye nyumba ya banda umiza sasa wakati wa kujenga nyumba angalau ya kueleweka umewadia.
Najua humu kuna mafundi professional na watalamu wa makadirio mazuri na ya wastani mnaweza kukadilia nyumba kama hii kwa hapa Tanzania ina weza kughalimu kama shingapi? Pamoja na kupiga finishing yote.
Note: Njoo na maoni yako mazuri wapendwa na makadirio kuringana na uzoefu wako na gharama za ujenzi wa kisasa.[emoji120]
View attachment 2828332