Ni bora utumwani penye mahitaji muhimu kuliko uhuru pasipo na mahitaji muhimu

Ni bora utumwani penye mahitaji muhimu kuliko uhuru pasipo na mahitaji muhimu

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Hata waisrael walifikia kipindi kuchoka na shida wanazopata safarini kuelekea kaanani walitamani Musa awarudishe Misri kwa farao utumwani walipata mahitaji muhimu.

1446634139814.jpg
 
Afu waisrael hao hao wako jangwani lakini uchumi wao uko juu kuliko sisi unajua sababu akili wale jamaa hawana rasilimali kama sisi. Hawana shida ya maji wala umeme.
 
Na Mungu alijua kuwa uhuru ni muhimu zaidi. Otherwise amewaacha huko. Ndio maana malalamiko yao ni kufuru. Mtu anyeogopa uhuru ni mtu asiyetaka kuwajibika. Maana uhuru huja na wajibu. Sasa ukianza kuwajibika unawaza bora niwe mtumwa ilimradi nilishwe. However man is never complete
 
"Watu wanafikiri wanataka uhuru, lakini ukweli ni kuwa wanataka stability."
 
Back
Top Bottom