Ni Broker yupi ni bora kwenye Forex?

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
673
Reaction score
974
Habari wazee,

Nimeshafanya mazoezi ya kutosha nataka kuanza kutrade, Nahitaji kujua ni Broker yupi anafaa. Sihitaji matapeli au wahunihuni.

NB nimejaribu Kusignup kwa baadhi, ila naambiwa nchi yangu hairuhusiwi.

Naombeni muongozo wataalamu kwa kutrade

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee asante sikutegemea jibu safi kama hili nashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na pia strategy hii itakua poa zaid kama ukimtumia broker nnae mtumia mm kwa kufungua account kupitia referral link yangu boss wangu!!! Narudia kwa mara nyingine tenah!! KARIBU PM [emoji119]

@YoungJigger
 
[emoji23] Njaa mbaya sana, kwahyo unauza strategy, kama inakupa ela si utulie nayo uendelee kupiga ela, ela za mfukon mwa watu nazo unazitakia nin,, kwann unatangaza kuuza kuna alipenda strategy yako,mpk unasema unauza??

No hate No fear, acha kutapeli watu,, povu kadri ya itakavyokugusa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela zako kauzie maembe tu aisee, kama hata kuandika kunakusimbua kiasi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kabla ya yote naomba nijue elimu yako kwanza!! Then nikufundishe kitu ambacho kitakupa mwanga kwenye maisha yako mbelen huko!!

@YoungJigger
 
Forex is real inahtaji muda na akili na u2livu
 
Ontario yuko vizuri upande huo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
walio liwa forex wengi walikua wana cheza kama kamali sio ku trade mm mwnyewe nshawahi kuliwa sana 2! haihitaji mhemko
 
Mkuu kabla ya yote naomba nijue elimu yako kwanza!! Then nikufundishe kitu ambacho kitakupa mwanga kwenye maisha yako mbelen huko!!

@YoungJigger
Bro strategy yako inafanyaje kazi? Naomba kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…