James strong
New Member
- Aug 19, 2011
- 4
- 1
kwani tumetoka nje ya roho na mwili?......hebu fafanua hasa.....MMU ni nini zaidi kinaongelewa kilichopo nje ya roho na mwili.....
Hata hivyo karibu sana maana naona ni mgeni kabis ana hii ni post yako ya kwanza
Umenena vyema ila yote yanayofanyika humu hata kama ni mzaha kuna wakati wake na kuna topic serious sana humu na zinajibiwa the same na zile z amzaha ni hivyo hivyo
Preta mtu mwenyewe mgeni humu maswali kama yuko police central yatamkimbiza humu
na zote si ziko ndani ya roho na mwili sio.......
teh teh teh teh........
Zote ziko ndani ya mwili na roho na nafikiri humu MMU ni zaidi mwili na roho hata kama una shida ya kimwili unasaidiwa
sasa je.....mwambie bana huyo rafiki yako.......hii ndio MMU......