safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Sote tunakubali kwamba haikuwa vizuri nyie kukaa muda wote huo huku hamjui hatma ya kesi yenu.
Sote tunajua kwamba mliishi kwa shida huko jela kama ambavyo waliishi wengine wasiokuwa nyinyi(shida zinazidian)
Lakini naomba sana nyie mashekhe mshapata bahati mumetoka mnatakiwa mutulie kama kusimulia simulieni huko mtaani lakini sio kupita kwenye mitandao huku mkieleza mambo kadha wa kadhaaa.
Yaliyopita si ndwele mashekhe tugange yanayokuja.
Nilimsikia juzi shekh msellem kana kwamba anajisafisha hivi.
Mkianza kujisafisha watu watafungua mafaili yenu waanze kuwachafua tena na kutuma video zenu za mihadhara namna ambavyo mlikuwa na kauli kali za kichochezi.
Busara tulieni,mshatoka fanyeni mambo mengine sasa hivi msijisahau saaaana mkaona kwa kuwa nchi anayo fulani.
Kumbukeni waliowawekeni ndani bado wapo hai.