Ni celebrity yupi anakuvutia sana?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Habarini! Habari za weekend!

Leo ningependa kila mmoja wetu kwa nasi yake aweze kushare nasi ni Celebrity gani anakuvutia hapa Duniani! Kutoka katika tasnia yoyote ile! Kikubwa ni awe Celebrity! Na kwanini unaona huyo kwako ndo the best Celebrity? Au nini kimekufanya hadi ummpende huyo na si wengine?

Iwe katika movies,siasa,muziki,mpira au mchezo wowote ule!

Mimi naanza na hawa wanao unda kundi la H_ART THE BAND! kwangu mimi ndo celebrities ninao wapenda kwasababu ya sauti zao,the way wanavyo imba na life style yao! Wameimba nyimbo kama ULIZA KIATU,NIKIKUTAZAMA na zingine kibao! Video zao zinanikosha

Lazima nifuatilie kwa siku wamepost nini na nyimbo gani wametoa
 
Timbulo anajua sana yule jamaa
 
1.Meagan Good.
2.Gabrielle Union.
3.Fabulous.
4.Lil Mo.
 
meek mill,chris brown,elizabeth michael and selena gomez, over!!
 
Millard Ayo, & Chris Brown, Naseeb Abdul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…