Ni Celebrity yupi unaetamani kutoka nae?

huyo aende huko kwa Shunie wakachunguliane. Afadhali urafiki na swahiba wangu Asprin huna shida nao
Haka kabinti ni mali yetu halali. Tutatunze kadumu, tukatunze katutumikie...

Swahiba kuna mchuchu yeyote kanitaja mimi celeb wa Jukwaa la Wakubwa??

Kama sijatajwa, ubakaji na uendelee
 
Daaah aisee mimi nampenda sana huyu mwanamke Scarlett Johansson
Ni muigizaji wa filamu kama vile
Avengers 1&2
Avengers_Age of ultron.
Lucy etc.
Nakapenda sana haka kabibie hasa ile sauti yake ya kukwaruza ndio inanivutia.
Wewe je?
Mke wangu[emoji7]
 
Emma watson....aisee haka kabint hata kakiniambia kameungua mi naweka ndani hvyo hvyo
 
Je una maumivu ya kichwa?
Je unamaumivu ya mgongo?
Je unamaumivu ya kifua?

Mimi natumia dawa tatu wewe je?

Nitarudi master.
Afu Daby mkorofi wewee! [emoji53][emoji53][emoji53]
 
Daaah aisee mimi nampenda sana huyu mwanamke Scarlett Johansson
Ni muigizaji wa filamu kama vile
Avengers 1&2
Avengers_Age of ultron.
Lucy etc.
Nakapenda sana haka kabibie hasa ile sauti yake ya kukwaruza ndio inanivutia.
Wewe je?
mimi nalima mahindi kwa bidii nipate hela ya kumuhonga nick minaji nampenda mpaka homa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…