kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Sitaki.na edit
Mkuu... Scarlet nampenda sana.Daaah aisee mimi nampenda sana huyu mwanamke Scarlett Johansson
Ni muigizaji wa filamu kama vile
Avengers 1&2
Avengers_Age of ultron.
Lucy etc.
Nakapenda sana haka kabibie hasa ile sauti yake ya kukwaruza ndio inanivutia.
Wewe je?
Haumtaki tena Mr Bashite [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wa kwanza
T. Diggs huyu mmmmmmh, hadi raha kumuangaalia tu ananimaliza.
yani kwenye movies za harry potter, harry nilikuwa namuona zoba kweli baada ya kumkosa uyo mtotoEmma Watson
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Je una maumivu ya kichwa?
Je unamaumivu ya mgongo?
Je unamaumivu ya kifua?
Mimi natumia dawa tatu wewe je?
Nitarudi master.
Yaani nilikesha hapa nikisubiri hakakacoment kako [emoji4][emoji4]Mi nikitoka na daby inatosha kabisaa
Hao maselenini cijui tupa kuleeee.....sitamaniii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] so now you're happy?Yaani nilikesha hapa nikisubiri hakakacoment kako [emoji4][emoji4]