Ni chakula kipi unachopendelea wakati wa kufuturu swaumu ramadhani?

Ni chakula kipi unachopendelea wakati wa kufuturu swaumu ramadhani?

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Habarini wana-JF.

Nazani Leo ndo first day fact ya SWAUM RAMADHANI KWA WAISLAMU DUNIANI KOTE.

UNAZANI NI CHAKULA GANI UNACHOPENDELEAGA KUFUTURU JIONI?

TUMWOMBE MOLA TUWE WENYE KUMALIZA SWAUMU RAMADHANI.
AMINI.

NAWAKARIBISHA NYOTE.
 
Kitu cha bagia, kacholi, na magimbi ya nazi, uji wa ukwaju miye hoi hapo nikipata na kipande cha samaki basi umenimaliza.
 
Katles,sambusa ndizi nyama za nazi chapati njugu mawe n.k
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Maharage ya sukari na chapati
 
Back
Top Bottom