Ni changamoto zipi ambazo umezipitia mpaka kufanikiwa kupata job?

Ni changamoto zipi ambazo umezipitia mpaka kufanikiwa kupata job?

Wild fauna

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
461
Reaction score
189
Zipo changamoto nyingi nyingi wengi wetu tumepitia na bado hatujafanikiwa kupata kazi ila wapo walopitia hzo misukosuko,
 
Prakatumba mie nishapeleka application letter kwenye ofice flan yule secretar wa bosi akaniita kando then akanambia hyo kitu uliyoomba ipo nafasi ila tayar hyo position ishaekewa booking kitambo.so katafute mambo mengine ya kufanya hapa hutapata,nikaondoka kichwa chini huku nikifanya doria kuwa ni kweli? Matokeo yake after one week akawekwa mdada pale.ila cha kushangaza sasa yule dada amejifungua juzi na mimba ilikua ya yule bosi wake
 
Nimewalaza wachezaji wa yanga wawili chumba kimoja, pesa nikatia ndani na leo hii nimefukuzwa kazi yanga.
 
Back
Top Bottom