Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,118
Tunaomba wataalam watusaidie kujua hili mapema kadri ya wimbi hili la nne linavyo kuja kwa kasi
Au kwa yeyote mwenye uwelewa huo
Au kwa yeyote mwenye uwelewa huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo ^chanjo ya Pfizer^ bali ^mchanganyiko kemikali iitwayo Pfizer^Ni mapema kulisema hilo kwa usahihi zaidi. Kumbuka Virusi hivi (Variant) vimeripotiwa karibuni hivyo data zaidi zinahitajika. Hata hivyo mpaka sasa chanjo za Pfizer & Biontech zimeonekana kuwa na matokeo mazuri ya awali though mambo hubadilika kadri muda unavyosonga.
👉👉👉👉https://www.cbsnews.com/news/omicron-variant-covid-19-vaccine-effectiveness/
https://www.cnbc.com/2021/12/12/israeli-study-finds-pfizer-covid-booster-protects-against-omicron-variant.html
Hakuna kemikali yenye jina hilo. Pfizer ni Manufacturer. Hivyo kilichomaanishwa ni mtengenezaji na sio kemikali.Siyo ^chanjo ya Pfizer^ bali ^mchanganyiko kemikali iitwayo Pfizer^
[emoji23] kama kitu hujui bora unyamaze tuSiyo ^chanjo ya Pfizer^ bali ^mchanganyiko kemikali iitwayo Pfizer^
Kama huwezi kusoma between the lines, usiparade ignorance.[emoji23] kama kitu hujui bora unyamaze tu