Yah, kweli kabisa. Kuna watu wengi tu wanajua kuandika kiingereza vizuri sana ila hawajui kuongea kizungu/kiingereza. Hivyo kuna uwezekano mkubwa sana mhitimu wa PhD akawa ameandika thesis yake kwa kiingereza lakini kwa upande mwingine asiwe mzuri wa kuongea kizungu hicho kwa ufasaha. Lugha na maarifa/elimu ni tofauti kuna watoto wadogo wanajua sana kuongea kiingereza lakini hawana maarifa ya elimu fulani.PhD sio lugha Bali maarifa, wapo wataalam wengi maprofesa wasiojua lugha ya kiingereza, achana na fikra potovu. Lugha sio Elimu na Elimu sio lugha Bali ujuzi na maarifa
PhD sio lugha Bali maarifa, wapo wataalam wengi maprofesa wasiojua lugha ya kiingereza, achana na fikra potovu. Lugha sio Elimu na Elimu sio lugha Bali ujuzi na maarifa
Acha kupotosha watu.Yah, kweli kabisa. Kuna watu wengi tu wanajua kuandika kiingereza vizuri sana ila hawajui kuongea kizungu/kiingereza. Hivyo kuna uwezekano mkubwa sana mhitimu wa PhD akawa ameandika thesis yake kwa kiingereza lakini kwa upande mwingine asiwe mzuri wa kuongea kizungu hicho kwa ufasaha. Lugha na maarifa/elimu ni tofauti kuna watoto wadogo wanajua sana kuongea kiingereza lakini hawana maarifa ya elimu fulani.
Kwenye mambo ya research na ukiwa unaandaa THESIS YA PHD yako hata kosa la punctuation marks linakurudisha ukafanye masahihisho.PhD sio lugha Bali maarifa, wapo wataalam wengi maprofesa wasiojua lugha ya kiingereza, achana na fikra potovu. Lugha sio Elimu na Elimu sio lugha Bali ujuzi na maarifa
Je unaweza sasa kujibu hilo swali la mleta mada?PhD sio lugha Bali maarifa, wapo wataalam wengi maprofesa wasiojua lugha ya kiingereza, achana na fikra potovu. Lugha sio Elimu na Elimu sio lugha Bali ujuzi na maarifa
Kamwe usitahasibishe (underestimate) umuhimu wa lugha katika suala zima la kujenga, kukuza na kuhawilisha maarifa na ujuzi; "lieu-gar" ni "sir-war" na means ya usafiri mathalani gari, usiopokuwa nayo huwezi kufika kwenye destinesheni yako husika.PhD sio lugha Bali maarifa, wapo wataalam wengi maprofesa wasiojua lugha ya kiingereza, achana na fikra potovu. Lugha sio Elimu na Elimu sio lugha Bali ujuzi na maarifa