Ni Course gani ya afya naweza soma?

Ni Course gani ya afya naweza soma?

Habari,

Mimi nina Certificate ya Community Health Je, course gan naweza soma kwa Certificate au Diploma?
Kaisomee diploma yake alafu malizia kasome degree ya nutrition and dietics hapo open university .
 
Kaisomee diploma yake alafu malizia kasome degree ya nutrition and dietics hapo open university .
Asante. Lakin nimejaribu kuulizia kwa Tanzania hii course haina Diploma ndio maana natafuta coz nyingine...
 
Habari,

Mimi nina Certificate ya Community Health Je, course gan naweza soma kwa Certificate au Diploma?
Yaakili watu wengi wanahayo matatizo wengo wamerukwa na akili kwa hiyo ni sawa ukisomea uwasaidie hawa madaktari ambao wapo wachache
 
Back
Top Bottom