sadick ndugu
Member
- Sep 9, 2024
- 7
- 2
Ninaifanyia kazi kama Health AssistantHiyo kozi ya community health umeshaifanyia kazi kwenye field
Kaisomee diploma yake alafu malizia kasome degree ya nutrition and dietics hapo open university .Habari,
Mimi nina Certificate ya Community Health Je, course gan naweza soma kwa Certificate au Diploma?
Asante. Lakin nimejaribu kuulizia kwa Tanzania hii course haina Diploma ndio maana natafuta coz nyingine...Kaisomee diploma yake alafu malizia kasome degree ya nutrition and dietics hapo open university .
Inatambulika kasome diploma ya social work au community development bado unaweza kujiungaAsante. Lakin nimejaribu kuulizia kwa Tanzania hii course haina Diploma ndio maana natafuta coz nyingine...
Yaakili watu wengi wanahayo matatizo wengo wamerukwa na akili kwa hiyo ni sawa ukisomea uwasaidie hawa madaktari ambao wapo wachacheHabari,
Mimi nina Certificate ya Community Health Je, course gan naweza soma kwa Certificate au Diploma?
Asante..Inatambulika kasome diploma ya social work au community development bado unaweza kujiunga
Sawaa..Hiyo ilishafutwa na pia haina diploma yake maybe ubadilishe fani
24yrsUna umri Gani mwanangu.
AsanteInatambulika kasome diploma ya social work au community development bado unaweza kujiunga