Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Bank ya CRDB na TFF imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitatu na nusu na CRDB itatoa shilingi Bilioni 3.76 kwa kipindi chote cha miaka mitatu na nusu, ila msimu huu watatoa dollars laki moja sawa na shilingi milioni 255, sasa Kombe la FA litaitwa CRDB BANK FEDERATION.
Najiuliza
1. AZAM mkataba wake umeisha?
2. CRDB ameamua kuingia kwenye Soka baada ya kuona NBC anajitangaza sana?
Wataalam wa mambo karibuni kwa maoni na yenu
Najiuliza
1. AZAM mkataba wake umeisha?
2. CRDB ameamua kuingia kwenye Soka baada ya kuona NBC anajitangaza sana?
Wataalam wa mambo karibuni kwa maoni na yenu