Hapana sponsor atasambaza na jersey1. Azam alikuwa na broadcasting Rights tu sio Title Sponsor
2. Ni kweli ameona na yeye aingie rasmi
Hofu yangu kwenye zile timu zisizo na jersey nyingi, huku bega la kulia unavaa nembo ya NBC kushoto CRDB? Itaruhusiwa ili kuepusha mgongano wa kimaslahi
Hapo sawaHapana sponsor atasambaza na jersey
Binafsi Niko njiani kufungua acc NBC ya kuhifadhia hela ya Kutumia Dec huko nakuwa natupia vi change change ikifika Dec nakuwa don kidogo kuwaunga mkonoCRDB wanazubaaga sana sijui ni kubweteka sababu ya big customer base au tu ni lack of creativity. NBC japo kwa miaka kadhaa walikua wanajikongoja ila waliamua kujilipua kudhamini ligi kuu na kweli imekua na positive impact kwao na sasa CRDB ndio wanashtuka na wao. Japo mi mteja wa CRDB ila NBC wametisha sana tena ngoja nikafungue na account kwao itakua sio fair
Safi sn. Fungua malengo fasta accountBinafsi Niko njiani kufungua acc NBC ya kuhifadhia hela ya Kutumia Dec huko nakuwa natupia vi change change ikifika Dec nakuwa don kidogo kuwaunga mkono
ShukraniSafi sn. Fungua malengo fasta account
Wanagawa gawio gani kwa watejaNBC wanagawa gawio kwa wateja kama hawana akili nzuri.Sijawahi kupata gawio toka NMB wala CRDB.Kongole NBC
Kuna vihela nimeweka Bank.So huwa wananipatia gawio sometimes elfu 9,15,mpka 20Wanagawa gawio gani kwa wateja