We ukishamnunulia smart phone binti yako
Ujue wiki moja haipiti anaanza faidika na matunda ya kumiliki smartphone..
Utashangaa kutwa Yuko na simu..
Ukimpiga ataenda kutafuta tena faraja kwa kunyanduliwa😀😀Kwa Sisi Baba zao au kwa Wanaume wengine Ndugu? Haya Majibu yenu yanaanza Kunilazimisha niagize Kijijini Fimbo za Mianzi Mtu anyooshwe.
Ukiona mapenzi na chipsi kavu & mayai yanaongezeka ujue kuna kijamaa kishamkwangua au kinaelekea kumkwangua mkuu.
Hata mimba ikiwa changa wamama wakimuangalia tu. Wanasema wewe Carleen una mimba wewe. Basi ataanza kujibaraguza hapo.😀Kinachonishangaza ni kwamba akina Mama ( Mama Zao ) huwa ni wepesi sana Kuwagundua kuwa wameshaanza Kunyiriwa tofauti na akina Baba.
Binti huanza kuwa na kiburi na kaujeuri flani hivii ambacho mwanzoni hakuwa nacho, halafu kale huwa kanakuja automatic hata ukitaka kuji control inakuwa ngumu ila baadaye kabisa unarudi kwenye hali ya kawaida,
talking from experience.!!
Ayaaaa ndio basi tena......,ashakuwa mtu mzima mwenzako huyo tayari.Kwa ulichiokiandika hapa kinachotokana na Uzoefu wako Ndugu sasa ni wazi kuwa Wanaume wameshaanza Kuninyiria Binti yangu Kipenzi kabisa.
Binti huanza kuwa na kiburi na kaujeuri flani hivii ambacho mwanzoni hakuwa nacho, halafu kale huwa kanakuja automatic hata ukitaka kuji control inakuwa ngumu ila baadaye kabisa unarudi kwenye hali ya kawaida,
talking from experience.!!
Utashangaa kutwa Yuko na simu..
Huanza kuwa na kibri + dharau.
Baadhi yao wanaanza kujiamini, wengine wanakua na aibu ya kutengeneza ili ku prove their innocence, kuanza kujiremba/kujipamba tofauti na mwanzo yaani tabia ya awaliTembea yake inabadilika