Ni dalili gani au zipi za awali kabisa zinazoweza kumsaidia Baba kuweza kujua kuwa Binti yake ameshaanza kufanya Ngono?

wazazi hupitia wakati mgumu sana binti akibalehe maana hichi kipindi hakiwaachi salama mabinti wengi coz genye zao hua juu sana...

dalili za binti aloanza kuliwa:

1.ukimuona kawa jasiri na kujiamin sana ujue tayar
2.kiburi, hapa hata umwambie nini hajali, huu ndo wakat ambao mzaz hufoka sana bt matokea ni zero
3.ukimuona na vitu vipya ambavyo hujamnunulia
4.atapenda kujitenga sana, mda mwingi yupo pekee ndani bila hata sababu za msingi

kama una mke nakushauri mzungumze nae ili amdhibiti maana we baba itakua ngum
 
Gentamycin ulisema wewe ni mbobevu wa haya maswala..Karibu uwanja ni wako
 
Mkuu ni kwamba mtoto wa kike akishafikisha 17 huna haja ya kuumia kichwa tena,,,,elewa mambo yapo mezani......jikite kwenye kuongea nae zaidi,,,,ongea nae kama baba,,,kama rafiki,,,,atakuelewa sn tu...
 
Watu wanalaumu mtoa mada na kumshutumu ila mimi ni baba wa binti pia kiukweli jamaa kaanzisha mada njema sana... nasoma comment moja baada ya nyingine hii itanisaidia kuongeza maarifa kuhusu mabadiliko ya binti yangu.... hakuna mwanaume anayependa mama dada ndugu ama mtoto wake wa kike kuchokonolewa chokonolewa bhana!!!
 
Kwa hiki ulichokiandika hapa Ndugu muda si mrefu napiga Simu Kijijini Kwetu wanitafute Fimbo za Mianzi nije nimmalize Mtu kwani ameshaanza.
FIMBO HAZITAMFANYA AACHE ANACHOKIFANYA BALI ITAMFANYA AONGEZE UMAKINI ZAIDI JUU YA JAMBO HILO!

UNAONEKANA UNA AMINI KTK MATUMIZI YA NGUVU KATIKA KUSHUGHULIKIA MATATIZO YAKO YA KIFAMILIA!

BADILI MTAZAMO WAKO JUU YA HILO KWANZA!
 
Kama chura yake inatikisika Sana tofauti na zamani.........kwisha habari za bikra yake
Ujue washakata utepe usubirie abhuzukulu tu mkuu🖐️🖐️
 
"Akitembea atabinua kiuno"😆😆
Hii ni hatari.
 
Ila wewe ulivyokuwa unachipukia uliwachokonoa mkuu? [emoji23][emoji23] kama jibu ni ndiyo jiandae
 
Ushauri niliompa vijana wangu wa kiume kiume ni kuwa watumie kinga na kama wwakishindwa basi watembee na vipima ngoma na mimba ,bajeti ya hivyo vitu nitawapa mimi .
Na kweli naona matokeo chanya sana HESHIMA IMEZIDI
 


Kwanini usifurahi kwamba umeanza kupata wakwe??, --- piga ua "ile kitu" ni mali yake na wewe unayo yako pia.

Utapiga kelele weee mwisho utajikuta ulikuwa unapoteza muda wako bure, iache shughuli hiyo kwa mama yake, na wewe nenda huko kutafuta (kunyiri) za wengine.😱
 
Una undugu na GENTAMYCINE ?
 
atakuwa anataka kujuwa ratiba za wazazi wake vizur muda wanaotoka na kurudi na hapa ndipo anapotekeleza anayoyataka, na ataanza kuwa na marafiki wa kike wanaomzidi umri atawaita dada na ukimbana sana atanza kutoroka usiku au kuleta mwanaume ndani.
 
kama anajipitishwa kwa wanaume ikitokea wanamuongelesha kasauti huwa anakabadili kana kuwa kakumtoa nyoka pangoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…