Ni dalili gani au zipi za awali kabisa zinazoweza kumsaidia Baba kuweza kujua kuwa Binti yake ameshaanza kufanya Ngono?

Mzulu waaanguu ukimchunguza sana nyoka ana miguu mingapi utagundua ana miguu mingi sana.Usijaribu kuangalia nyuki anatumia formular gani kutengeneza asali hata wanasayansi walishindwa kutengeneza artificial honey.
Ya kaizar mpe kaizari ya mungu mpe mungu.Mambo ya kumchunguza binti yako yanakuhusu nini muachie hiyo kazi mama yake atakupa taarifa akijisikia wewe jali mambo yako utajipa pressure sisizo na msingi
 
Umeandika utoto mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…