Ni dalili gani zinazoonesha unatumika?

Kama vijana wengi wanadanganywa na mapenzi na ma single mother unalea familia yake bila kujua mwisho wa siku unakuta mda ushakuacha
Unadanganywaje na single mother kwani unakua hujui au ndio huba limekuzidiaπŸ˜…πŸ˜…
 
Ukiona sehemu ulipo watu wanakusifu una roho nzuri, mara huna baya, jua moja kwa moja kuna namna wananufaika na wewe
Hata kama ni kweli una sifa nzuri na roho nzuri?

Labda utufundishe namna ya kutofautisha
 
Shukrani πŸ™
 
Mleta mada unapangilia vizuri mawazo yako, na uwasilishaji wako uko vizuri
 
Unaweza kutumika pia kwenye kazi kwa kufanya kazi nyingi halafu mshahara unakuwa mdogo.
Lakini pia mtu anaweza kukutumia kama daraja la kuvuka Kisha akakutupa huko.

Kutumika kwenye mapenzi ndio babkubwa wadada na wakaka wengi wanatumika kwa kujua ama kwa kutokujua πŸ˜πŸ™†.
Mungu nisaidie nisitumike πŸ™
 
Unaweza kutumika pia kwenye kazi kwa kufanya kazi nyingi halafu mshahara unakuwa mdogo.
Aiseee unanufaisha watu wewe uko pale pale
Lakini pia mtu anaweza kukutumia kama daraja la kuvuka Kisha akakutupa huko.
Alooo ni hatari
Kutumika kwenye mapenzi ndio babkubwa wadada na wakaka wengi wanatumika kwa kujua ama kwa kutokujua πŸ˜πŸ™†.
Mungu nisaidie nisitumike πŸ™
Nilitaka kusema kitu ila nimejikuta ila baasi😁😁
 
Naona watu hawajaelewa mada sjui, anyway dalili mojawapo mtu kukupa treatment nzuri za ghafla hii wengi huwa traped hasa kwenye mapenzi.
Nyingine mtu anakutengenezea msala alafu baadae anajifanya kukusaidia ili akutumie kirahisi hata hata serikalini huu mfumo unatumika sana,cheki series ya ozark utaona huu mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…