Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,718
- 3,488
Mkuu unacheka nini akati mtu anaumwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kunywa dawa za minyoo
AlbendazoleMkuu unacheka nini akati mtu anaumwa
Maalim ulipona?Wakuu wana JF. Hivi pindi ifikapo mida ya usiku huwa kuna kitu kina chezacheza/kutekenya sehemu ya haja kubwa pamoja na kuwashwa kwenye makalio iwe Asubuhi, mchana hadi usiku.
Ni dalili ya nini/ama ugonjwa gani huu.......?
Wakuu wana JF. Hivi pindi ifikapo mida ya usiku huwa kuna kitu kina chezacheza/kutekenya sehemu ya haja kubwa pamoja na kuwashwa kwenye makalio iwe Asubuhi, mchana hadi usiku.
Ni dalili ya nini/ama ugonjwa gani huu.......?